Loading...
Mtu mmoja amefariki katika maandamano ya kuipinga serikali nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(JK Kongo).
Vyombo vya habari vya nchi hio vimeripoti kwamba maandamano yaliyofanyika katika mji wa Goma yaliingiliwa kati na polisi.
Robert Zibawanza, muwakilishi kupitia shirikisho la vyama vya upinzani wa Lamuka Goma amesema vyombo vya dola viliingilia kati na kufyatua risasi za moto na kupelekea mmoja wa waandamanaji kuuwawa kwa risasi.
Kwa upande mwinginge serikali ya JK Kongo imetangaza haitafanyika sherehe ya kusheherekea miaka 59 ya uhuru wa nchi hio.

Na Paskali Joseph.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MAANDAMANO YA KUPINGA SERIKALI YA DR CONGO, MTU MMOJA AFARIKI DUNIA
Reviewed by By News Reporter
on
7/02/2019 06:23:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: