Loading...
="font-family: Verdana, sans-serif;">
Shirika ambalo linasimamia uongozi wa mskiti wa Göteborg limelaani vikali kitendo hicho kwa kuonesha ghadhabu zake katika mitandao ya kijamii.
Watu walioendesha tukio hilo walimwaga vinywaji katika mazulia katika chumba hicho cha ibada.
Polisi imeanzisha uchunguzi kupitia kamera za ulinzi katika hospitali hiyo.

Na Fatma Pembe.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
QURAN ZACHANWA KATIKA CHUMBA CHA IBADA NCHINI SWEDEN
Reviewed by By News Reporter
on
7/01/2019 06:49:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: