Loading...
Nyota na mwanamitindo wa nchini Marekani, Amber Rose ameonekana katika matembezi ya nje na mpenzi wake mpya Alexander 'A.E.' Edward na baadhi ya marafiki zake siku ya Jumanne.
Staa huyo,35, ambaye alikuwa mpenzi wa zamani wa rapa Kanye West na Wiz Khalifa, alionekana katika picha akiwa amevalia suruali ya kubana nyeusi huku ujauzito wake ukionekana mkubwa sana kana kwamba yupo karibu kijifungua.
Mwanamitindo Amber ambaye ana mtoto mwingine na rapa Wiz Khalifa ambapo kwa sasa ana umri wa miaka 6 anayejulikana kwa jina la Sebastian, alitangaza rasmi mwezi wa Aprili kuwa anatarajia kupata mtoto mwingine wa kiume mwezi wa Oktoba.

Na Daudi Michael.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
STAA AMBER ROSE ANATARAJIA KUPATA MTOTO WA PILI, PICHA HIZI ZADHIHIRISHA
Reviewed by By News Reporter
on
7/11/2019 08:38:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: