Loading...

TRUMP NA NETANYAHU WAJIPANGA KUIKABILI IRAN

Loading...
Rais wa Marekani Donald Trump na waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu wafanya mazungumzo kuhusu Iran.

Msemaji wa ikulu ya Marekani, Judd Deere ametoa taarifa ya maandishi kuhusiana na mazungumzo ya Trump na Netanyahu.

Katika taarifa hiyo Deere amesema Rais Trump na waziri mkuu Netanyahu wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu na wamekubaliana kushirikiana kuizuia Iran isilete madhara yeyote pamoja na kutetea maslahi yao ya pamoja.
Na Haika Gabriel.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
TRUMP NA NETANYAHU WAJIPANGA KUIKABILI IRAN TRUMP NA NETANYAHU WAJIPANGA KUIKABILI IRAN Reviewed by By News Reporter on 7/14/2019 10:09:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.