Loading...
tter kwamba Morrison ameiga dunia akiwa na umri wa miaka 88.
Riwaya ifahamikayo kama “Beloved” aliyoiandika mwaka 1988 ilishinda tuzo ya Pulitzer. Mwaka 1993 Morison alikuwa mwanamke wa kwanza Mmarekani mweusi kushinda tuzo ya Nobel katika fasihi. Mwaka 2012 Rais Obama alimtunuku Morrison medali ya uhuru.

Na Paskali Joseph.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MTU MWEUSI WA KWANZA KUSHINDI TUZO YA NOBEL, AFARIKI DUNIA
Reviewed by By News Reporter
on
8/08/2019 08:49:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: