Loading...
Mamlaka ya Udhibiti na Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imesema bei za jumla na rejareja kwa mafuta ya petrol, dizeli na mafuta ya taa yaliyoingizwa kupitia bandari ya Mtwara yamepungua.
EWURA imesema kuwa mafuta ya petrol yamepungua kwa sh.160, dizeli sh 102 na mafuta ya taa kwa Sh. 81, huku mafuta yaliyoingizwa kupitia bandari ya Tanga na yenyewe bei yake imepungua ikilinganishwa na mwezi uliopata.
Aidha taarifa hiyo imeeleza kuwa bei ya jumla na rejareja kwa mikoa ya Kaskazini ambayo ni Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara nayo pia imepungua kwa Sh 105 sawa na asilimia 4.5 na Sh 124 sawa na asilimia 5.3.
Punguzo hilo la bei limeanza kutumika kuanzia Agosti 7, 2019.

Na Geofrey Okechi.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
BEI PETROLI, DIZELI ZAPOROMOKA KWA MWEZI AGOSTI
Reviewed by By News Reporter
on
8/08/2019 08:16:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: