Loading...

39 wafariki na majeruhi zaidi ya 70 katika ajali ya moto huko Korea Kusini

Loading...
Zima moto wakijaribu kuokoa maisha ya raia wema katika hospitali hiyo
Mmoja wa majeruhi akiokolewa katika tukio hilo huko Miryang, Korea ya Kusini
Watu 39 wamekufa na wengine zaidi ya 70 kujeruhiwa katika ajali ya moto uliyotokea katika Hospitali moja nchini Korea Kusini. Hata hivyo maofisa wa zima moto wanasema idadi ya waliokufa huenda ikaongezeka kutoka katika majeruhi hao.
Imefahamika kuwa moto huo ulianzia katika chumba cha dharura cha Hospitali ya Sejong, katika mji wa Miryang kusini mashariki mwa nchi hiyo.
39 wafariki na majeruhi zaidi ya 70 katika ajali ya moto huko Korea Kusini 39 wafariki na majeruhi zaidi ya 70 katika ajali ya moto huko Korea Kusini Reviewed by By News Reporter on 1/26/2018 08:16:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.