Loading...

HERI YA FURAHA YA KUZALIWA - RAPPA RICK ROSS (41)

Rappa Rick Ross
Historia yake
Rappa Rick Ross aliyezaliwa huko Mississippi tarehe 28/01/1976, kwasasa anatimiza miaka 41, na ananyota ya 'NDOO'. Rappa huyo alishika umaarufu baada ya kuachia albamu yake ya Deeper Than Rap na baadae kuwa Msanii, MC aliyependwa MTV mwaka 2012 baada ya kuanzisha lebo yake ya muziki iliyojulikana kama Maybach Music Group.

Kabla ya umaarufu
Loading...
yle="text-align: justify;"> Rappa huyo alikuwa Afisa Marekebisho mjini Florida na alikuwa akienda katika ziara na baba yake Trick.

Mafanikio yake
Albamu yake ya kwanza, Port of Miami, ilishika nafasi ya kwanza katika chati 200 za Billboard mwaka 2006.

Maisha ya Familia
Rick Ross ana watoto wawili mpenzi wake wa zamani kwa majina ni Toie na William III. Katika albamu yake ya Valley of Death, alizungumzia kushindwa kutoa huduma kwa watoto wake hao wawili.

Ameshawahi kushirikiana na Lil Wayne katika nyimbo kadhaa.

"Heri ya furaha ya kuzaliwa kwa msanii Rick Ross na tunakutakia maisha marefu"
HERI YA FURAHA YA KUZALIWA - RAPPA RICK ROSS (41) HERI YA FURAHA YA KUZALIWA - RAPPA RICK ROSS (41) Reviewed by By News Reporter on 1/28/2018 09:08:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.