Loading...
Mwanamke wa kihindi amekamatwa na kushtakiwa kwa kuonyesha paja lake kwenye picha aloichapisha kwenye mtandao wa Facebook.
Rehana Fathima ambaye ni mwanaharakati alizuiwa kuingia katika hekalu la Sabarimala eneo la Kerala kufuatia kitendo hicho.
Kwenye picha aloichapisha kwenye ukurasa wake mwezi Oktoba, mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 32 alikuwa amevalia vazi leusi ambalo linasemekana kuhusishwa na lile la wafuasi wa Lord Ayyappa.
Fathima alikashifiwa vikali mahakamani kwa kuanika paja lake mitandaoni na kuyaonyesha magoti yake pia, tendo ambalo haliambatani na dini ya Wahindi.
Rafikiye Arathy SA ambaye pia ni mwanaharakati alidhibitisha kwamba Rehana alikamatwa akiwa afisini mwake Jumanne Novemba 27.
Mahakama iliamrisha azuiliwe kwa siku 14 huku uchunguzi ukiendelea.
Aidha, familia yake imetaka aachiliwe kwa dhamana.
Na Mary Mkeu.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

INDIA: MWANAMKE MBARONI KWA KUANIKA PAJA LAKE MTANDAONI
Reviewed by By News Reporter
on
12/01/2018 09:21:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: