Loading...
vi karibuni Mo alitoa kitita cha maana kwa wachezaji wa timu hiyo baada ya kuitandika Mbabane Swallows katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika iliyofanyika jijini Dar es Salaam ambapo inaelezwa kuwa alitoa Sh milioni 30 kwa wachezaji hao.
Na amedai kuwa kuanzia sasa wachezaji wa timu hiyo watakuwa wakilamba milioni 40 kila watakapofanikiwa kutoka hatua moja na kwenda hatua nyingine ya michuano hiyo.
Na Ummy Jaffar.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

MO KUMWAGA MAMILIONI SIMBA, ANACHOTAKA NI KUSONGA MBELE TU
Reviewed by By News Reporter
on
12/06/2018 01:13:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: