Wanasayansi wa kimatibabu wana kila sababu ya kutabasamu baada ya mwanamke mmoja aliyepandikizwa mfuko wa uzazi kutoka kwa mwanamke aliyefariki kujifungua mtoto msichana mwenye afya.
Operesheni ya upandikizwaji huo uliripotiwa kufanyika Septemba 2016 jijini Sao Paulo, Brazil na mtoto huyo kuzaliwa Desemba 2017.
Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida moja la habari za matibabu kwa jina ‘The Lancet’ siku ya Jumatano, Desemba 5, mafanikio hayo yalionyesha kuwa kuhamishwa kwa mfuko wa uzazi kunawezek

Loading...
na.
Watafiti na kikundi cha wanasayansi wa Brazili walifanikisha tafiti hiyo kwa kuweza kufanikisha Upasuaji wa saa 10 wa kumwekea mfuko wa uzazi mwanamke huyo aliyepandikizwa mfuko wa uzazi kutoka kwa mwanamke mwenye miaka 45, aliyefariki kwa mshtuko wa moyo.
Hapo awali wanawake tasa walikuwa wanapata mtoto kwa njia ya kuwaasili kama njia pekee ya kujifariji kuwa wana watoto lakini kwa utafiti huu utawasaidia tasa kupata watoto wao wenyewe kwa kupandikizwa mifuko ya uzazi.
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

MWANAMKE TASA AJIFUNGUA KWA KUPANDIKIZWA MFUKO WA UZAZI WA MAREHEMU
Reviewed by By News Reporter
on
12/06/2018 11:51:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: