Loading...

JINSI YA KUZUIA MWILI WAKO USIUNGUZWE NA MOTO WA PETROLI

Loading...
Moto wa petroli ni moto unaowaka kwa kasi sana kutokana na asili ya mafuta hayo, kwamba yanauwezo wa kusambaa kwenye hewa kwa haraka zaidi.

Hapa tunakuletea dondoo 5 zitakazoweza kuokoa maisha yakowakati moto utakuwa umesambaa katika sehemu za mwili wako:-

- Usikimbie kimbie. Mwendo wa namna yeyote utazidi kuongeza kasi ya moto kuwaka. Kama kuna msaada wa karibu ni vyema ukausubiri hapo hapo ulipo.

- Tumia michanga kuuzima. Kwa kujimwagia au kumwagiwa mwilini na sio maji kwa sababu maji huongeza moto na sio kupunguza.

- Tumia Blanketi au Shuka nzito iliyokuwa kavu.

- Jigalagaze kwenye mchanga huku ukiwa umejiziba sehemu ya sura kwa kutumia kiganja cha mikono yako.

- Vua nguo zako. Kwa maana nguo ndio moja kichocheo kikubwa cha kuwaka moto huo.
Na Catherine Kisese.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
JINSI YA KUZUIA MWILI WAKO USIUNGUZWE NA MOTO WA PETROLI JINSI YA KUZUIA MWILI WAKO USIUNGUZWE NA MOTO WA PETROLI Reviewed by GEOFREY MASHEL on 8/11/2019 11:17:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.