Wabunge nchini Sudan wameunga mkono mpango wa kubadilisha katiba ya kumkubali Rais Omar-al-Bashir kuwania kwa muhula wa tatu mwaka wa 2020. katiba ya nchi hiyo ilibadilishwa mwaka 2015 na kufanya Ma rais kuwania mihula miwili pekee.
Iwapo katiba haitabadilishwa basi Rais Bashir atalazimika kuondoka madarakani.
Bashir alichukua uongozi wa taifa hilo kwenye mapinduzi ya kijeshi miaka thelathini iliyopita.

Loading...
erif;">
Spika wa bunge amesema kuwa takriban wabunge mia tatu wamesaini azimio la kuunga mkono mswada huo wa mageuzi ya katiba.
Katiba hiyo ikipitishwa basi Rais Bashir mbali na kupata muhula wa tatu, atakua na mamlaka ya kuwafukuza magavana.
Mwaka 2016 Bashir aliviambia vyombo vya habari kuwa ataachia madaraka mwaka 2020. Alisema kuwa kazi yake inachosha na huu ndio muhula wake wa mwisho.
Na Sudi Rajab.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

RAIS WA SUDAN KUWA RAIS WA MILELE?
Reviewed by By News Reporter
on
12/06/2018 07:36:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: