Loading...
Hali ya mwanamuziki wa injili Rose Muhando inasemekana kuwa mbaya huku ikisemwa kuwa hali yake kwa sasa imekuwa ikiangaliwa na baadhi ya waimbaji wenzake ambao wamekuwa wakifanya siri juu ya afya ya mwanamama huyo.
Habari zinasema kuwa mwanamama huyo amekuwa akisumbuliwa na mkono ambao hapo awali katika baadhi ya picha na video zilizokuwa zikimuonyesha akiombewa kanisani zilimuonyesha kama mtu alievunjika mkono.
Hata hivyo inasemwa kuwa hata wenyeji wake ambao ni waimbaji wenzake wamekuwa wakifanya siri sana kuhusu kutoa taarifa ya kinachomsumbua ilhali mtu huyo yupo mautiuti kitandani.
Hata baada ya gazeti moja hapa nchini kupata habari hizo walianza kufatlia ukweli kwa kumuuliza kiongozi wa chama cha wanamuziki wa injili Tanzania, Bi Stella Joel na alisema kuwa hata wao wamesikia tu taarifa hizo lakini hakuna uhakika wowote na wanafatilia kwa karibu na watatoa taarifa.
Na Catherine Kisese.

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
ROSE MUHANDO HOI KWENYE CHUMBA CHA MAUTUTI - KENYA
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
12/06/2018 06:44:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: