Ufaransa imesema inatathmini kurejesha kodi kwa wenye kipato kikubwa, ambayo ilifutwa na Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron baada ya kuingia madarakani. Hilo ni moja ya madai makuu katika maandamano ya hivi karibuni.
Uwezekano wa kurejeshwa kwa kodi hiyo maarufu kama ISF iliyokuwa ikitozwa kwa wenye kipato kikubwa nchini Ufaransa umetajwa na msemaji wa serikali ya nchi hiyo Benjamin Griveaux katika mahojiano na kituo cha redio cha RTL. Ingawa msemaji huyo amesema uamuzi kuhusu hatua hiyo haujawekwa kwenye meza ya mazungumzo, ikiwa sera fulani haileti ufanisi, serikali sio kiziwi, italibadilisha.

Loading...
an>
Kufuta kodi hiyo ilikuwa ahadi muhimu ya kampeni ya urais ya Emmanuel Macron anayependelea biashara, kama njia ya kurahisisha uwekezaji na kuundwa kwa nafasi za ajira.
Lakini raia au wanyonge wamechukulia kutekelezwa kwa kodi hiyo ni kwamba bwana Macron anawapenda matajiri, anawapenda wenye nguvu, anawahusudu mabosi wakubwa katika taasisi za kifedha. Anapenda matajiri kama alivyosema Hollande, na hawajali watu wa kawaida. Na sio kwamba hawajali tu, bali pia anawadharau na ndio maana waliafiki maandamano ya hivi karibuni.
Hivyo rais huyo mwenye miaka 40, anapitia wakati mgumu katika kufanya maamuzi ingawa anapaswa afanye hivyo.
Na Fatma Pembe.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

RAIS WA UFARANSA MAJI YA SHINGO KODI YA MATAJIRI
Reviewed by By News Reporter
on
12/06/2018 07:59:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: