Loading...

AMBER ROSE KATIKA MUONEKANO MPYA BAADA YA UPASUAJI WA KUPUNGUZA MATITI

Loading...
Kulia Amber rose kabla ya kufanya upasuaji wa kupunguza matiti, kushoto ni baada.
Staa Amber Rose alifanyiwa upasuaji wa kupunguza matiti mapema mwanzoni mwa mwaka huu, na ameonekana katika mitandao ya kijamii akijidai na maumbile yake mapya.

Sio tu matiti yake yamepunguzwa, lakini inaonekana kila sehemu za mwili wake zimepunguzwa pia na mashabiki zake wanasema huwenda alifanya operesheni ya kupunguza mwili mzima. Maziwa yake yamepungua kutoka katika umbo la H mpaka umbo D baada ya upasuaji. Tumbo lake na kiuno pia vinaonekana vyembamba kama anavyoonekana mbele ya nyumba ya Staa Blac Chyna.

Alirusha picha yake katika mtandao wa Instagram Weekend hii na kuandika "Nyuma ya Chyna buti na @dollskill."
Picha aliyotuma katika mtandao wa Instagram

AMBER ROSE KATIKA MUONEKANO MPYA BAADA YA UPASUAJI WA KUPUNGUZA MATITI AMBER ROSE KATIKA MUONEKANO MPYA BAADA YA UPASUAJI WA KUPUNGUZA MATITI Reviewed by By News Reporter on 2/12/2018 08:51:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.