Loading...

KYLIE JENNER AONEKANA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUJIFUNGUA

Loading...
Kylie Jenner akipiga hatua baada ya kushuka kutoka katika gari yake.
Kylie Jenner ameonekana katika macho ya watu kwa mara ya kwanza tangia atoke kujifungua mtoto wake wa kike, Stormi. Nyota wa Vipindi vya uhalisia wa maisha ya watu na mwanzilishi wa LipKit alikutana na kamera za waandishi wa habari akiwa pamoja na rafiki yake kipenzi Jordyn Woods, huko Los Angeles siku ya Jumamosi.

Jenner alivaa shati jeusi na kaptura fupi nyeusi, na juu aliongezea kwa kuvaa jaketi ya rangi ya maziwa iliyoambaa na mabega yake na sneaker za kijivu-nyeusi za Michael Jordan.
Kylie Jenner na rafiki yake kipenzi, Jordyn Woods wakishuka katika gari.
KYLIE JENNER AONEKANA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUJIFUNGUA KYLIE JENNER AONEKANA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUJIFUNGUA Reviewed by By News Reporter on 2/12/2018 09:29:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.