Loading...

BLAC CHYNA ANAHITAJI UPASUAJI WA KUPUNGUZA MAKALIO

Loading...
Blac Chyna katika pozi za ufukweni.
Mwanamitindo Blac Chyna ni wazi anahitaji upasuaji ili kupunguza makalio yake, ikiwa jana alirusha picha zake katika mitindo tofauti zinazosemekana alipiga wiki iliyopita akiwa maeneo ya ufukweni. Lakini makalio yake yalionekana hayajapangika katika mpangilio mzuri.

Ni wiki kadhaa toka rafiki yake kipenzi Amber Rose kufanyiwa upasuaji wa kupunguza karibu maumbile yake ya mwili mzima kuanzia matiti, tumbo, nyonga na makalio na alirusha picha za mwonekano wake mpya akiwa nje karibu na nyumba ya Blac. Labda huenda naye Chyna ikamshawishi kufanya hivyo la sivyo inaweza haribu muonekano wake na shepu yake kiujumla.
BLAC CHYNA ANAHITAJI UPASUAJI WA KUPUNGUZA MAKALIO BLAC CHYNA ANAHITAJI UPASUAJI WA KUPUNGUZA MAKALIO Reviewed by GEOFREY MASHEL on 2/15/2018 12:05:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.