Loading...

DUDU BAYA: BORA MWANANGU WILLE NINGEMZAA NA MANGE KIMAMBI

Loading...
Msanii mkongwe Dudu Baya katika mahojiano na kituo cha radio cha Magic Fm akihojiwa na Dj Tass katika kipindi cha Kwetu Fleva ilipofika wakati wa maswali aliulizwa - kutokana na mwenendo mzima wa mwano wille, Je dudu baya ungezaa na Mange Kimambi mkawa na mtoto mnalea ingekuwaje?

Dudu alijibu na kusema: "Inagekuwa kama Christiano Ronaldo na timu ya Real Madrid, kwa sababu Mange ni jasiri, haogopi, mtu wa kusema ukweli ila mama wile yeye asingeweza kusema ukweli ila angekaa."

Mkongwe huyo wa Bongo Fleva alizungumzia maswala mengi ikiwa pamoja na ujio wake mpya na kutambulisha ngoma kadhaa na show anazopata. Wakati akiitambulisha ngoma yake mpya 'Nasema' amesema kwa sasa nataka niimbe nyimbo za kuihasa jamii waachane na maovu yanayotendeka kila siku na wamrudie Mungu wao.
DUDU BAYA: BORA MWANANGU WILLE NINGEMZAA NA MANGE KIMAMBI DUDU BAYA: BORA MWANANGU WILLE NINGEMZAA NA MANGE KIMAMBI Reviewed by By News Reporter on 2/09/2018 08:25:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.