Loading...

HAWA NDIO MARAIS MASKINI KWA KIGEZO CHA MSHAHARA

Loading...
Mengi yamezungumzwa kuhusu rais wa Uruguai Jose Mujica, ambaye anatoa msaada mpaka asilimia 90 ya mshahara wake ambao ni kiasi cha dola za kimarekani 144,000 kwa mwaka ikiwa kama hisani. Ukilinganisha mishahara ya marais kiujumla Mujica analipwa kiasi kinacho ridhisha ukilinganisha na viongozi wengine.

Hapa tunakuletea orodha ya marais 10 masikini kwa kipengele cha jumla ya mshahara wake kwa mwaka.

1. Pope Francis, Vatican – $0
2. Mahmoud Ahmadinejad, Iran – $3,000
3. Hamid Karzai, Afghanistan – $6,300
4. Robert Mugabe, Zimbabwe – $18,000
5. Marin Raykov Nikolov, Bulgaria – $26,929
6. Pranab Kumar Mukherjee, India – $32,216
7. Alexander Lukashenko, Belarus – $33,873
8. Xi Jinping, China – $39,720
9. Federico Franco, Paraguay – $40,000
10. Borut Pahor, Slovenia – $44,280

HAWA NDIO MARAIS MASKINI KWA KIGEZO CHA MSHAHARA HAWA NDIO MARAIS MASKINI KWA KIGEZO CHA MSHAHARA Reviewed by By News Reporter on 2/15/2018 09:57:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.