Loading...

MSANII FRENCH MONTANA ATAJWA BALOZI WA KIMATAIFA WA HISANI NCHINI UGANDA

Loading...
Msanii French Montana akiwa mmoja wa kundi la Ghetto Kid
Kwa kazi yake ya Hisani katika nchi hii ya Mashariki ya Afrika, French Montana amepewa heshima katika sherehe huko New York na ni kwa mara ya kwanza kwa rappa yeyote kutajwa kama Balozi wa Kimataifa wa Wananchi.
Msanii French akiweka sahihi katika hati ya Ubalozi wa Hisani.
"Inavutia kuwa mtoto wa Mungu, raia wa dunia na wakala wa mabadiliko. Nasaidia watu wenye uhitaji, unajua," Alisema Montana.

"Huenda hii inamaana kubwa zaidi kwangu #nimebarikiwa kuwa na uwezo wa kuwasaidia wengine wenye uhitaji. Asante @GlblCtzn" alitweet katika mtandao wake wa twitter.

Baada ya wimbo wake wa "Unforgettable" kufanya vizuri aliye mshirikisha Swae Lee na kundi la Ghetto Kids, French Montana siyo rahisi kufutika katika makaratasi. Alitumia fursa hii kugundua mahitaji, na kufanya ufadhili nchi wa kiasi cha dola za kimarekani 100,000 katika Mama Hope Foundation.
MSANII FRENCH MONTANA ATAJWA BALOZI WA KIMATAIFA WA HISANI NCHINI UGANDA MSANII FRENCH MONTANA ATAJWA BALOZI WA KIMATAIFA WA HISANI NCHINI UGANDA Reviewed by By News Reporter on 2/03/2018 11:05:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.