Loading...

MTOTO ACHOMWA MIKONO KWA MAFUTA KISA SAHANI YA WALI

Loading...
Pichani mtoto akionekana akionyesha majeraha ya mikono yake.
Mwanamke mmoja nchini Liberia imedaiwa amechoma mikono ya mtoto wa kike wa rafiki yake kwa mafuta ya moto kama adhabu.

Kulingana na ripoti ya tukio hilo lililotokea New Pleebo, Maryland County nchini Liberia.

Mwanamke huyo mwenye roho ya kikatili aliweka mikono ya binti huyo ndani ya moto kama adhabu kwa kula wali na kisha kumfungia ndani ya chumba cha stoo kuanzia Januari 2. Aliokolewa juzi Februari 1, baada ya majirani kuwapigia polisi. Ripoti chini inasema.

Kwa mujibu wa habari kutoka kwa mwandishi wa ELBC (George Mombo) zinaripoti kwamba mwanamke aliyekuwa anayetokea maeneo ya New Pleebo, Maryland County alimchoma msichana mikono na miguu yake. Ilidaiwa kuwa msichana huyo aliiba na kula wali wa ndio maana akaamua kumchoma moto mtoto huyo. Na mwanamke huyo hakuwa mama wa mtoto bali alikuwa mtoto wa rafiki yake. Ingawa katika ripoti hiyo hiyo inasema mwanamke huyo kashafikishwa katika kituo cha polisi. Swali ni, Je angefanya hivyo kama mtoto angekuwa wake?.

Kwa mujibu wa majirani walisema mwanake huyumkatili alimficha msichana huyu kwa siri katika store yake toka Januari 2.
MTOTO ACHOMWA MIKONO KWA MAFUTA KISA SAHANI YA WALI MTOTO ACHOMWA MIKONO KWA MAFUTA KISA SAHANI YA WALI Reviewed by By News Reporter on 2/03/2018 12:18:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.