Loading...

PICHA ZA UTUPU ZA KIM KARDASHIAN ZAMUINGIZIA ZAIDI YA BILIONI 20

Loading...
Staa Kim Kardashian siku za hivi karibuni alizua gumzo katika mitandao ya kijamii hasa wa Instagram baada kurusha picha zake za utupu kwa mitindo tofauti. Kumbe ilikuwa ni njia ya kutangaza manukato yake.

Kwa mujibu wa ripoti ya mtandao wa TMZ, Kim Kardashian West amefanikiwa kuuza manukato hayo zaidi ya chupa laki 3, siku ya Jumapili.

Kim ametangaza manukato hayo kwa njia ya mtandao pekeyake, na manukato hayo yana harufu tatu, Bae, Ride or Die na BFF.

Mastaa wenye bifu na Kardashian, akiwemo Sharon Osbourne, Taylor Swift, Pink, Wendy Williams, Naya Rivera, Piers Morgan, Blac Chyna, and Chelsea Handler watazawadiwa manukato yenye harufu ya BAE siku ya wapenda nao.

Chupa hizo 300000 za manukato, zimetengeneza jumla ya dola za kimarekani Milioni 1o, sawa na pesa za kitanzania zaidi ya Bilioni 20.
PICHA ZA UTUPU ZA KIM KARDASHIAN ZAMUINGIZIA ZAIDI YA BILIONI 20 PICHA ZA UTUPU ZA KIM KARDASHIAN ZAMUINGIZIA ZAIDI YA BILIONI 20 Reviewed by By News Reporter on 2/07/2018 11:47:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.