Loading...

SABABU 16 ZINAZOWAFANYA WANAUME WAWAOGOPE WANAWAKE WAREMBO

Loading...
Tafiti nyingi na wanazuoni wanasema kwamba mwanamke ni kiumbe tata kukielewa. Sio sahihi! Wanaume ndio kazi kuwaelewa. Kuna mtandao mmoja huko Kenya ulizunguka na kuuliza wanaume kadhaa, kwanini wanawaogopa kuwatongoza wanawake au wasichana warembo na majibu ni yalikuwa zaidi ya kushangaza.

Mmoja aliulizwa kitu gani kinakutisha kwa mwanamke mrembo na alisema kwamba 'Watu wote watakuwa wametembea naye'. Kama hiyo haitoshi mwingine alijibu kwamba wanawake warembo ni gharama sana na nivigumu kuwamiliki.

Hayo yote, sio kweli moja kwa moja ni mafikirio tu.

Zifuatazo ni sababu 16 zinazowafanya wanaume wawaogope wanawake warembo:-
1. Kama unatokea katika eneo ambalo wasichana warembo hawapo inakuwa ni vigumu kuwazoea.
2. Wanawake warembo wengi wao hawana uzuri wa asili na wanapenda kutumia mapambo sana.
3. Wanawake warembo ni wanajiremba sana.
4. Wanawake warembo ni gharama.
5. Baadhi yao ni pasua vichwa na viburi.
6. Wanabaadhi ya tabia mbaya.
7. Wengi wanasura nzuri lakini lakini wamekosa utu
8. Wengi wao wanawapenzi wao tayari.
9. Baadhi yao wanajifanya kama wanatembea katika maji na kamwe hawajibu sms yako.
10. Wengi wao ni wanajijali wao tu na kukusubiria ufanye kosa.
11. Mwanamke mrembo ambaye hana mpenzi anasiri fulani au anajaribu kuficha jambo katika hii dunia.
12. Kuogopa kukataliwa.
13. Kila mtu ameshajaribu kufanya naye mapenzi.
14. Mwanamke mrembo anatisha.
15. Mwanamke mrembo anaweza kukuacha wakati wowote anaotaka.
16. Hauwezi kujiamini na wakati utakuwa na mashaka kwamba kunamtu anajaribu kukuchukulia mkeo.
SABABU 16 ZINAZOWAFANYA WANAUME WAWAOGOPE WANAWAKE WAREMBO SABABU 16 ZINAZOWAFANYA WANAUME WAWAOGOPE WANAWAKE WAREMBO Reviewed by By News Reporter on 2/13/2018 11:34:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.