Loading...

CHRIS BROWN NA RIHANNA KATIKA ZIARA YA MUZIKI YA PAMOJA

Loading...
Msanii Chris Brown anatarajia kumchukua mpenzi wake wa zamani Rihanna katika ziara ya kimuziki ya kimataifa, ni miaka 9 sasa tangu ashtakiwe kwa kumpiga mrembo mwenye asili ya Barbadian.

Mwimbaji wa muziki aina ya RnB mwenye miaka 28, aliamua kuweka wazi kupitia mtandao wake wa twitter kwamba anataka kumtumia mwimbaji wa 'Umbrella' pia akiwemo Beyonce na Bruno Mars ili wajiunge naye katika ziara yake ya kimataifa.

Aliandika hivi:: 'Nafikiria....Ziara hii ya kimataifa itakuwa na wasanii kama BOYONCE, RIHANA, BRUNO MARS, CHRIS BROWN. "2 kwa 2". Na wote mkiamua kuifanya bila basi mnipatie asilimia 10%.

CHRIS BROWN NA RIHANNA KATIKA ZIARA YA MUZIKI YA PAMOJA CHRIS BROWN NA RIHANNA KATIKA ZIARA YA MUZIKI YA PAMOJA Reviewed by By News Reporter on 2/13/2018 10:27:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.