Loading...

WALIMU WAONYWA KUTUMIA SIMU DARASANI

Loading...
Walimu hawana ruhusa tena ya kutumia simu akiwa darasani, Mamlaka ya Elimu nchini Ghana, ilionya.

Mamlaka hiyo ilidai muelekeo wa elimu nchini humo ni matokeo ya tabia za walimu mara kwa mara kutumia simu zao kuingia na kuganda katika mitandao ya kijami wakiwa darasani.

Hivyo wameandaa mpanga wa kurudisha mfumo wa maadili mema uliotumika na kanisa la kikatiloki ili wapate matokeo chanya katika sekta ya elimu kwa kudumisha uadalifu.

Mamlaka hiyo iladai kuwa walimu wengi wamekuwa wakitoroka vipindi vya darasani kwa sababu ya kushinda kwenye mitandao ya kijamii kupitia simu zao, na kwa sasa hawatovumiliwa. Hivyo, kila mwalimu anapaswa kuzima simu yake wakati wa kipindi chake cha darasani kufika.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afrika punde zinapojiri.
WALIMU WAONYWA KUTUMIA SIMU DARASANI WALIMU WAONYWA KUTUMIA SIMU DARASANI Reviewed by By News Reporter on 2/23/2018 08:13:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.