Loading...

BIFU KATI YA RAPPA FAT JOE NA 50 CENT LIMEKWISHA

Loading...
Marappa 50 Cent na Fat Joe walikuwa na bifu iliyodumu kwa zaidi ya miaka 10, huku kila mmoja akijaribu kumrushia vijembe mwenzake na kutukanana.

Na iliripotiwa wamemaliza bifu hiyo miaka michache iliyopita ijapokuwa hawakuonekana wakiwa pamoja ili kuthibitisha ripoti hizo, lakini kwa sasa wameamua kuungana katika kazi mpya ya msani 50 cent kwa jina la 'The Oath' ambayo ilifanywa katika studio za Sony Picture huko Los Angeles, Califonia siku ya Jumatano usiku.

50 Cent na Fat Joe walionekana katika picha ya pamoja wakiwa katika pozi la pamoja kama marafiki katika kapeti jekundu.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za burudani punde zinapojiri.
BIFU KATI YA RAPPA FAT JOE NA 50 CENT LIMEKWISHA BIFU KATI YA RAPPA FAT JOE NA 50 CENT LIMEKWISHA Reviewed by By News Reporter on 3/09/2018 12:48:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.