Loading...

PICHA: JENNIFER LOPEZ KATIKA UBORA WAKE

Loading...
Jennifer Lopez (48) mwanamuziki na muigizaji mkongwe katika tasnia ya burudani nchini Marekani, bado anaonekana kama binti ingawa umri unazidi kumtupa mkono.

Katika picha anaonekana akivaa nguo za michezo ambapo alivaa sidilia na suruali pekee huku akijipiga picha kwa mtindo wa 'selfie'.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za burudani punde zinapojiri.
PICHA: JENNIFER LOPEZ KATIKA UBORA WAKE PICHA: JENNIFER LOPEZ KATIKA UBORA WAKE Reviewed by By News Reporter on 3/09/2018 12:28:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.