Loading...

PICHA: MAZISHI YA MCHEZAJI WA TIMU YA ITALIA NA KLABU YA FIORENTINA DAVIDE ASTORI

Loading...
Maelfu ya mashabiki na mastaa wa soka duniani kote, wamehudhuria katika mazishi ya mchezi wa timu ya taifa ya Italia na klabu ya Fiorentina kapteni Davide Astori, ambapo yalifanyika jana Florence, Italia.

Mlinda mlango huyo mwenye miaka 31, alifariki akiwa usingizini katika hoteli ya Ladi Moret akijiandaa kwenda kucheza mchezo kati ya timu yake ya klabu na klabu ya Udinese Jumapili iliyopita. Inaaminika alifariki kwa mshtuko wa moyo.

Wachezaji wenzake wakiwa sambamba na wachezaji wa timu ya Italia walionekana katika picha wakiwasili katika kanisa la Santa Croce huko Florence kwa ajili ya huduma.

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za michezo punde zinapojiri.
PICHA: MAZISHI YA MCHEZAJI WA TIMU YA ITALIA NA KLABU YA FIORENTINA DAVIDE ASTORI PICHA: MAZISHI YA MCHEZAJI WA TIMU YA ITALIA NA KLABU YA FIORENTINA DAVIDE ASTORI Reviewed by By News Reporter on 3/09/2018 12:16:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.