Loading...
Uwiano wa idadi ya wanawake na wanaume duniani umekuwa ukishuka kutokana na vipindi kadhaa vya historia. Hivi sasa, uwiano huo kati ya mwanamke na mwanaume mmoja mmoja unakaribiana kulingana, lakini kuna baadhi ya nchi bado kuna pengo kubwa.
Kuna namna nyingi ya kuelezea swala hili, ikiwemo unyanyasaji wa wanawake, vita ambavyo vimesababisha kuhama hama kwa idadi kubwa ya watu kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine na kutokuwa na usawa wa kijinsia hata kusababisha wanawake wengi kuhama kutoka katika nchi zao na kwenda nchi nyingine kutafuta fursa za ajira.
Kutoka na hayo hapa tunakuletea nchi 10 ambazo wanaume wanapata shida kutafuta wanawake wa kuoa kutokana na idadi ndogo ya wanawake.
10. Sweden - Wanaume ni 12000 zaidi ya wanawake.
9. Afghanistan - Wanawake wamehama nchini humo kutokana na vita vya mara kwa mara na kusababisha kuwa na idadi ndogo ya wanawake.
8. Nigeria - Wanawake wamehama nchini humo kutokana na unyanyasaji wa kijinsia unaotokana na dhana potofu za kimila kama ndoa za utotoni, ukeketaji na ndoa za matala na kusababisha kuwa na idadi ndogo ya wanawake na kufikia kila wanawake 1000 idadi ya wanaume inakuwa 1040.
7. Greece - Wanawake wamehama nchini humo na kuelekea nchi jirani za Ulaya kutokana na kutokuwa na usawa katika swala la ajira na kuperekea wanaume baadhi kukosa wake wa kuoa.
6. Egypt
5. China - Wanaume ni milioni 40 zaidi ya wanawake wote.
4. The U.S.
3. India
2. United Arab Emirates
1. Qatar
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za burudani punde zinapojiri.
HIZI NDIO NCHI KUMI (10) ZENYE UHABA WA WANAWAKE WA KUOA
Reviewed by By News Reporter
on
3/09/2018 09:46:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: