Loading...
Rais wa Marekani Donald Trump akubali Alkhamis majira ya usiku kukutana na rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ifikapo Mei mwaka huu 2018.
Kulingana na taarifa zilzitolewa ni kwamba , kwa upande wa Korea-Kaskazini, itasitisha majaribio yake ya makombora ya nyuklia na kuhakikisha vitisho vya nyuklia kuondolewa katika Ghuba ya Korea.
Mualiko kutoka kwa Kim Jong Un umetolewa kiongozi wa ngazi ya juu wa Korea Kusini Chung Eui-yong akiwa katika ziara ya kikazi mjini Washington.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za kimataifa punde zinapojiri.
TRUMP AKUBALI KUKUTANA NA RAIS KIM JONG-UN
Reviewed by By News Reporter
on
3/09/2018 09:50:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: