Loading...

PICHA ZA MAZISHI ZA MWIMBAJI MGHANA, EBONY REIGN ALIYEFARIKI FEBRUARI 9

Loading...
Mazishi ya mwimbaji Mghana mwenye miaka 21, Ebony Reign, ambaye alifariki kwa ajali mbaya pamoja rafiki yake mnamo Februari 9, yaliyofanyika Jumamosi Machi 24. Mazishi hayo yaliyogubikwa na majonzi makubwa, yaliyohudhuriwa na wazazi wake wote wawili huko nchini Ghana, Mbele kidogo ya Ikulu.

Ebony ambaye jina lake halisia lilikuwa Priscilla Opoku-Kwarteng, alizaliwa Februari 16, 1997. Alijulikana sana kwa kibao chake kilichofanya vizuri cha "Poison".
 Wazazi wa msanii Ebony, wakihudhuria katika mazishi.
Na Fatma Pembe.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
PICHA ZA MAZISHI ZA MWIMBAJI MGHANA, EBONY REIGN ALIYEFARIKI FEBRUARI 9 PICHA ZA MAZISHI ZA MWIMBAJI MGHANA, EBONY REIGN ALIYEFARIKI FEBRUARI 9 Reviewed by By News Reporter on 3/26/2018 11:12:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.