Loading...

UGANDA: MWIMBAJI BARBI JAY AKAMATWA NA POLISI AKIFANYA NGONO KWENYE GARI

Loading...
Mwimbaji maarufu nchini Uganda, Barbi Jay amekamatwa na polisi wanaofanya doria usiku kwa tuhuma ya kufanya mapenzi kwenye gari usiku huko Mengo.

Mwimbaji huyo ambaye mkewake mke wake ametoka kujifungua Machi 2, alishikwa na mwanamke mwingine wakiwa kwenye gari aina ya Mark II. Inasemekana wawili hao walikuwa wanafanya vitendo vya kingono, ambayo ilikuwa sababu ya gari hiyo kutikisika.

Wawili hao walifikishwa mara katika kituo cha polisi cha Rubaga ambapo baadaye walifunguliwa shtaka la kufanya ngono katika halaiki ya watu na jarada namba SD/REF:08/10/03/2018 lilifunguliwa kituoni hapo na kuswekwa rumande.
 Msanii huyo akiwa pamoja na mkewe aliyetoka kijifungua.
Zifuatazo ni picha za usiku wa tukio hilo....

Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
UGANDA: MWIMBAJI BARBI JAY AKAMATWA NA POLISI AKIFANYA NGONO KWENYE GARI UGANDA: MWIMBAJI BARBI JAY AKAMATWA NA POLISI AKIFANYA NGONO KWENYE GARI Reviewed by By News Reporter on 3/12/2018 08:20:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.