Loading...
Kwa mujibu wa ripoti ya mtandao wa Alabama News, inasema hivi; Baba mmoja aliyekuwa anaishi Huntsville, Alabama amekiki siku ya leo kwa kumuamuru mpenzi wake mwenye miaka 21 ambake na kumfanyisha ngono mtoto wake wa kiume mwenye miaka 11 ambaye alidhani ni shoga.
Siku ya kutoa mwaka 2016, mwanaume mwenye miaka 29 kwa jina Sean Cole alitembelewa na mwanae wa kiume mwenye miaka 11, ambapo ilidaiwa alimkuta mtoto huyo amekaa na mwenzake mtindo ambao alihisi kuna dalali za ushoga kwa mtoto wake huyo. Ili kumuepusha na tabia hizo, alimlazimisha mpenzi wake, Khadeijah Moore mwenye miaka 21 afanye mapenzi na mtoto wake.
Moore alifanikisha kumbaka na kumfanyisha ngono za kinyume na maumbile kwa lazima. Wakati mtoto wa Cole aliporudi nyumbani likizo, alianza kuuliza maswali kuhusu kujamiana na akaropoka na kusema kilichotokea alipomtembelea baba yake. Ndipo mama yake alipofika hara polisi kwa kutoa taarifa.
Cole na Moore wameshtakiwa kwa ubakaji na ngono kinyume na maumbile kwa mtoto chini ya miaka 12, Moore amekimbia ila More alishahukumiwa kifungo jela.
Na Afredy Mbaningo.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za gossip punde zinapojiri.

BABA AMUAMURU MPENZI WAKE AMBAKE MWANAE WA KIUME KWA HOFU YA USHOGA
Reviewed by By News Reporter
on
4/03/2018 11:20:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: