Loading...
Wasanii wa Korea Kusini wamejumuika na wametumbuiza Korea Kaskazini na baadae kupiga picha na Kim Jong Un pamoja na mkewe.
Rais Kim ametaka hafla kama hizo zifanyike mara kwa mara kati ya Korea Kaskazini na Kusini.
Mahusiano kati ya Korea Kaskazini na Kusini yalianza kuwa mazuri baada ya michezo ya olimpiki iliyofanyika PyeongChang Korea Kusini.
Tamasha la wanamuziki kama hilo litafanyika Seoul miezi ya mbeleni.
Na Catherine Kisese.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za burudani punde zinapojiri.
KIM JONG UN JUKWAANI NA WASANII WA KOREA KUSINI
Reviewed by By News Reporter
on
4/03/2018 08:55:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: