Loading...
Roboti Sophia ambaye ni raia wa Saudi Arabia amefanya mazungumzo na muigizaji wa Hollywood - Will Smith.
Katika video iliyorushwa You Tube "Roboti Sophia" ameonekana kukataa glasi ya pombe aliyopewa na Will Smith.
Sophia alimjibu Will Smith aliyekuwa akijaribu kufanya matani kwa kumwambia, "Kufanya utani ni tabia isiyo ya kawaida ya kibinadamu".
Roboti hiyo inatarajia kufanya ziara 19 April katika mkutano wa kibiashara Saudi Arabia.
Sophia alipewa uraia na Saudi Arabia mwaka jana.
Na Fatma Pembe.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za teknolojia punde zinapojiri.

ROBOTI SOPHIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WILL SMITH
Reviewed by By News Reporter
on
4/03/2018 09:03:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: