Loading...

TUMBILI AMUIBA MTOTO MDOGO NCHINI INDIA

Loading...
Tumbili ameripotiwa kuiba mtoto mdogo katika jimbo la Orissa nchini India.

Kwa mujibu wa habari, tumbili huyo aliingia ndani na kumchukua mtoto mbele ya mama mtu.

Siku moja baadae mtoto huyo alikutwa katika kisima nyuma ya nyumba na alipofanyiwa uchunguzi ameonekana hakuwa na majeraha makubwa.

Hata hivyo maafisa polisi wamedai kwamba hiyo ni mara ya kwanza kwa tumbili kuiba mtoto.

Mara nyingi huingia majumbani mwa watu na kuiba vyakula tu.

Afisa polisi wa eneo hilo Pradhan, amewahakikishia wakazi kuwa tumbili huyo itakamatwa ndani ya wiki moja.
Na Neema Joshua.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za utalii punde zinapojiri.
TUMBILI AMUIBA MTOTO MDOGO NCHINI INDIA TUMBILI AMUIBA MTOTO MDOGO NCHINI INDIA Reviewed by By News Reporter on 4/03/2018 08:46:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.