Loading...

MAMIA YA WANAWAKE WALIOTELEKEZWA WAJITOKEZA KWA RC MAKONDA, MATATIZO YAO YAANZA KUSIKILIZWA RASMI

Loading...
Mamia ya wanawake wamemiminika leo katika ofisi hizo kufuatia wito wake kuwataka wanawake wote waliotelekezewa watoto na wazazi wenzao wa kiume wafike ofisini hapo na vielelezo halali ili waweze kupatiwa msaada wa kisheria.
Wanawake hao ambao kwa sasa wanalea watoto wao peke yao baada ya kutelekezwa, wamejitokeza kuanzia majira ya asubuhi japo kuwa mvua kubwa zilikuwa zikinyesha.

Makonda ameanza rasmi kusikiliza shida za wanawake hao leo Aprili 9, 2018 ofisini kwake.
Na Fatma Pembe.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za kitaifa punde zinapojiri.
MAMIA YA WANAWAKE WALIOTELEKEZWA WAJITOKEZA KWA RC MAKONDA, MATATIZO YAO YAANZA KUSIKILIZWA RASMI MAMIA YA WANAWAKE WALIOTELEKEZWA WAJITOKEZA KWA RC MAKONDA, MATATIZO YAO YAANZA KUSIKILIZWA RASMI Reviewed by By News Reporter on 4/09/2018 03:26:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.