Loading...
Rais Magufuli amewabwaga viongozi kadhaa wa Afrika na kushinda tuzo ya "Excellence in Leadership."
Viongozi wengine walioshinda tuzo za heshima yumo Mke wa Rais wa Ghana, Mabalozi na wasanii.
Wapo wasanii wawili pia wa Tanzania wamepata tuzo akiwepo Monalisa.
Hongera Rais wetu. Dunia na Afrika inatambua kazi yako njema.
Taarifa ya kina hii hapa:
http://africaanalysis.blogspot.com/2018/04/president-magufuli-ethiopia-diplomat.html?m=1
Na Catherine Kisese.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za kitaifa punde zinapojiri.

RAIS MAGUFULI ASHINDA TUZO YA "EXCELLENCE IN LEADERSHIP"
Reviewed by By News Reporter
on
4/16/2018 09:59:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: