Loading...
Mamlaka ya Hali ya Hewa imetanga kuendelea kwa vipindi vya mvua kubwa katika maeneo ya mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.
Na Geofrey Okechi.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za kitaifa punde zinapojiri.
TAHADHARI: MAMLAKA HALI YA HEWA YATANGAZA KUENDELEA KWA MVUA KUBWA
Reviewed by By News Reporter
on
4/16/2018 09:51:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: