Loading...
Mwanadada
Faiza Ally amejikuta akiingia katika wakati mgumu baada ya kunasa mimba
nyingine ya tatu huku mtoto wake wa kiume wa pili akiwa bado na umri wa
miezi nane tu huku yeye mwenyewe akiwa anajipa moyo kuwa hawezi kupata
mimba kwa sababu alikuwa akitumia vidonge vya kuzuia mimba.
Alikuwa akitoa taarifa juu ya swala hilo anasema kuwa Faiza hakujua kama angeweza kubeba mimba kwa sababu alikuwa anatumia njia ya kuzuia mimba lakini kwa bahati mbaya alipata mimba huku akiendelea kunywwa dawa hizo ambazo zilikwenda na kuharibu mimba hivyo kuanza kuumwa bila kujua anaumwa nini.
"Msemaji huyo anasema kuwa baada ya hapo alikwenda hospitali ambapo alikwenda na kugundua tatizo kuwa alikuwa na mimba iliyoharibka kutokana na kutumia vidonge hivyo,alipofika hospitali waligundua tatizo hilo huku wakiona kuwa mimba ilikuwa imeharibika hivyo kuamua kumsafisha ili kumuweka sawa."
Baada ya kuongea na msemaji huyo gazeti Moja waliamua kumtafuta Aaiza Ally mwenywe ilikuthibitisha habari hizo na ndipo aliposema haya”ni kweli nilikuwa mjamzito, unajua mimi na baba yake mtoto tunakaa mbalimbali kwahiyo inabidi tutumie dawa za kuzuia mimba, kumbe dawa tulizokuwa tukitumia hazikuwa za kuzia zilikuwa ni za kuharibu kabia kwaio hata ilipoingia kwa bahatimbaya iliharibiwa na dawa hizo, lakini haukutoka vizuri ndio nikawa najisikia vibaya na kuumwa mpaka nilipokwenda hospitali."
Hata hivyo Faiza Ally alipoulizwa kama angekuwa tayari kuzaa kama mimba hiyo isingeharibika huku wakikariri amneno yake ya mwanzo kuwa watoto wawili wanatosha alijibu kuwa kwa sababu mimba iliingia kwa bahati mbaya hasingeweza kuitoa hata kidogo kwa sababu hawezi kufanya hivyo.
Na Neema Bushubo.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

FAIZA AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUBEBA MIMBA NYINGINE
Reviewed by By News Reporter
on
5/07/2018 12:12:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: