Loading...
MKONGWE wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa hakuna kitu kitakachomfurahisha kama mwigizaji mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray’ akimuoa mzazi mwenziye, Chuchu Hans.
Akizungumza na mtandao mmoja wa habari, Johari aliyewahi kudaiwa kutoka kimapenzi na Ray alisema kuwa, anatamani hivyo kwa kujua wazi kabisa kuwa Chuchu ni chaguo sahihi la Ray maana ni mwanamke ambaye amemzalia mtoto mzuri.
“Kiukweli nitafurahi sana mkurugenzi mwenzangu (RJ Company) akimuoa Chuchu. Kwanza ni mwanamke wa chaguo lake na pia amemzalia kidume cha nguvu na kwenye harusi nitakuwa mstari wa mbele,” alisema Johari.
Na Fatma Pembe.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

JOHARI ABARIKI NDOA YA RAY NA CHUCHU
Reviewed by By News Reporter
on
5/21/2018 01:09:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: