Loading...
Usiichukulie kiwepesi nguvu ya mtandao waliyonayo watu wa Afrika Mashariki, wanauwezo mkubwa katika mitandao ya kijamii.
Kufuatia vilio walivyovionyesha kupitia hushtags ya #SwahiliNotIndonesian na #TwitterRecorgnizeSwahili, kwa sasa mtandao wa twitter umeitambua lugha ya kiswahili kama ndio lugha pekee inayozungumzwa sana Afrika Mashariki.
Ijapokuwa bado haijawa rasmi kuanza kutumika lakini kwa kupitia tweet iliyoandikwa na Faith Karimi inadhihirisha kuwa washaanza kuruhusu kutafsiri lugha hiyo.
Wakazi wa Afrika Mashariki, ni watu ambao wanatumia mtandao wa twitter kuzidi sehemu zote za Afrika, na hutumia mtandao huo kwa kuanzisha jamii za mitandaoni.
Na huwa wanatumia jamii hizo kuonyesha kero zao na hata kuzungumza utani.
Kiswahili kuwa lugha ya kwanza kutambuliwa na mtandao wa twitter, kutatoa tumaini kwa lugha nyingine za asili.
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

KISWAHILI YAWA LUGHA YA KWANZA AFRIKA KUTAMBULIKA NA MTANDAO WA TWITTER
Reviewed by By News Reporter
on
5/20/2018 11:20:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: