Loading...
Akiwa katika baraza la bunge la Ulaya Zuckerberg ameomba radhi kwa mara nyingine kwa mtandoa wake wa kijamii unaoongoza ulimwenguni Facebook kwa kushindwa kudhibiti udukuzi katika mtandao huo.
Matandao wa Facebook unatuhumiwa kushindwa kudhibiti taarifa zisizokuwa sahihi na udukuzi. Mtandaoa wa Facebook umeshindwa kuzuia wadukuzi kuingilia taarifa binafsi za wateja wake na taarifa za uchaguzi kudukuliwa.
Ni mara yingine Zuckerberg kuomba radhi na kukiri udhaifu katika mtandoa wake wa Facebook.
Na Neema Bushubo.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

MARK ZUCKERBERG AOMBA RADHI KWA KAMPUNI YAKE KUTOWAJIBIKA KUDHIBITI UDUKUZI
Reviewed by By News Reporter
on
5/23/2018 01:02:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: