Loading...
Mashindano ya bara Afrika kuwania taji la mchezo wa Judo yameanza jana siku ya Alhamisi jijini Bujumbura nchini Burundi. Mashindano hayo yatazishirikisha nchi 13 kutoka Afrika.
Wachezaji 66 kutoka mataifa 12 wanatarajiwa kushiriki katika mashindano hayo makubwa kwa vijana barani Afrika.
Kati ya wachezaji hao, wachezaji 35 ambao wanafahamika kama Judoka, ni wanaume huku wanawake wakiwa ni 31.
Mataifa yanayoshiriki ni pamoja na Algeria, Djibouti, Misri, Gambia, Cote d'Ivoire, Madagascar, Morocco, Senegal, Afrika Kusini, Tunisia, Zambia na Zimbabwe.
Na Paskali Joseph.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

MASHINDANI YA BARA LA AFRIKA KUWANIA TAJI LA MCHEZO WA JUDO KUANZIA BURUNDI
Reviewed by By News Reporter
on
5/11/2018 04:59:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: