Loading...

MITUMBA KUPIGWA MARUFUKU RWANDA

Loading...
Wafanya biashara wa nchini Rwanda walalamikia serikali baada ya kuchukua hatua ya kupiga marufuku uingizwaji wa 'mitumba' nchini humo, na kudai kutaperekea vijana wengi kukosa ajira kwa kuwa walikuwa wanategemea biashara hiyo.

Serikali hiyo ilikuwa ikiongeza ushuru wa mitumba au nguo zilizotumika kwa lengo la kuzuia uagizwaji wa nguo hizo. Ushuru ulipandishwa kutoka senti 20 hadi dola $2.50 kwa kilo.

Nguo za ndani zimekosa soko, serikali za Afrika Mashariki walisema, kwa bei nafuu ya mitumba hiyo, mitumba kutoka nchi za Ulaya na Marekani.
Na Paskali Joseph.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

MITUMBA KUPIGWA MARUFUKU RWANDA MITUMBA KUPIGWA MARUFUKU RWANDA Reviewed by By News Reporter on 5/26/2018 12:48:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.