Loading...

MVUA YAUA WATU 8 PAKISTAN

Loading...
Watu nane wameripotiwa kupoteza maisha na huku wengine ishirini wakiwa wamejeruhiwa kutokana na mvua kubwa kunyesha kaskazini mashariki mwa Pakistan.

Katika eneo jingine watu sita wameripotiwa kufariki na wengine 16 kujeruhiwa baada ya nyufa kuanguka katika maeneo karibu na mpaka wa Afghanistan.

Watu wengine wawili wameripotiwa kufariki kutokana na mvua Kaskazini Mashariki mwa Bakkhar.

Mvua na upepo mkali vimetanda katika maeneo tofauti nchini Pakistan.

Miji iliyoathiria kwa asilimia kubwa ni Bajuar Agency, Bhakkar na Gujranwala.
Na Geofrey Okechi.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MVUA YAUA WATU 8 PAKISTAN MVUA YAUA WATU 8 PAKISTAN Reviewed by By News Reporter on 5/14/2018 10:35:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.