Loading...

HABARI ZA HIVI PUNDE: ELIZABETH MICHAEL 'LULU' KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE

Loading...
Habari zilizosambaa sana kwa siku ya tarehe 13 Mei, zinasema kuwa mwanadada Elizabeth Lulu Michael ameachiwa huru na kwamba inasemekana kifungo chake kimepatiwa msamaha wa raisi hivyo mwanadada huyo yuko huru.

Ingawa habari hizi hazinathibitika bado , lakini chanz cha habari zinasema kuwa siku ya jana  Lulu Michael alitolewa gerezani na kusemakana kuwa kwa sasa yuko huru.

Bado kumekuwa na mkanganyiko wa maneno kuhusu kuachiwa kwake ingawa hakuna picha ya karibuni iliyomuonyesha msanii huyo akiwa huru lakini sababu za kutoka kwake gerezani zimekuwa nyingi huku wengine wakisema kuwa ni msamaha wa rais, wengine wakisema kuwa rufaa yake imefanikiwa huku wengine wakisema kuwa ametiwa kifungo cha nje.

UPDATES:>>>> Taarifa rasmi tulizo zipokea sinasema Elizbeth Michael amebadilishiwa adhabu na sasa anatumikia kifungo cha nje kwa amri ya Mahakama Kuu Tanzania. Magereza yathibitisha
Na Neema Joshua.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
HABARI ZA HIVI PUNDE: ELIZABETH MICHAEL 'LULU' KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE HABARI ZA HIVI PUNDE: ELIZABETH MICHAEL 'LULU' KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE Reviewed by By News Reporter on 5/14/2018 10:20:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.