Loading...

MAREKANI KUISAIDIA KIUCHUMI KOREA KASKAZINI

Marekani yafahamisha kuwa  itaisaidia Korea Kaskazini kiuchumi endapo Pyongyang itaachana na mpango wake wa silaha za  nyuklia.

Hayo yamezungumzwa baada ya Mike Pompeo kufanya ziara nchini Korea Kaskazini.

Kwa mujibu wa habari zilizotolewa ni kwamba, Mike Pompeo amefanya mazungumzo ya kina na Kim Jong Un kuhusu uamuzi wa
Loading...
Marekani endapo nchi hiyo itaachana na makombora ya nyuklia.

Hapo awali rais Trump alitangaza rasmi kuwa mkutano baina yake na Kim unatarajia kufanyika 12 Juni Singapore.

Marekani imeahidi kushirikiana na Korea Kaskazini na Kusini endapo mkutano kati ya Kim na Trump utazaa matunda.
Na Mohamedi Makame.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MAREKANI KUISAIDIA KIUCHUMI KOREA KASKAZINI MAREKANI KUISAIDIA KIUCHUMI KOREA KASKAZINI Reviewed by By News Reporter on 5/14/2018 10:02:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.