Rais John Magufuli amemkabidhi mwanafunzi wa kidato cha kwanza wa Shule ya Sekondari Mang’ula, wilayani, Kilombero, Sh 3 milioni kwa ajili ya ujenzi wa vyoo vya shule hiyo.
Mwanafunzi huyo aliyejitambulisha kwa jina moja Msangi alipokea fedha hizo baada ya kueleza uwapo wa changamoto ya vyoo katika shule yao.
Rais Magufuli alimpa fedha hizo kijana huyo baada ya kuuliza iwapo kuna shule katika eneo hilo.
Wananchi hao wakajibu kuna sekondari ya Mangula. Ndipo Rais alipouliza iwapo kuna mwalimu yeyote katika eneo hilo lakini hakuna aliyesimama.

Loading...
erdana, sans-serif;">Rais akauliza tena iwapo kuna mwanafunzi ndipo kijana huyo aliposimama na kueleza kuwa anasoma kidato cha kwanza katika shule hiyo.
Kijana huyo aliposimama alisema shule yao yenye kidato cha kwanza hadi cha nne haina vyoo.
Baada ya kusikia changamoto hiyo, Rais Magufuli aliamua kutoa fedha hizo ili kuwezesha ujenzi wa vyoo kufanyika.
"Hivi kweli wazazi wote mliopo hapa halafu mnakuwa na shule haina vyoo, haya ngoja mie nichangie naomba hizi fedha zitumike kujenga vyoo," amesema Magufuli.
Rais Magufuli, alianza kwa kutangaza atatoa Sh 2milioni lakini akaongeza na kusema anatoa Sh3milioni ambazo alimkabidhi kijana huyo papo hapo.
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

RAIS MAGUFULI AMKABIDHI MTOTO KITITA CHA MILIONI 3
Reviewed by By News Reporter
on
5/06/2018 08:56:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: